Land farm inauzwa ipo bagamoyo ukitokea dar kama unaenda bagamoyo ukiimaliza round about mbele kidogo unaingia kushoto kabla haujaingia stendi ya bagamoyo mjini
Ukubwa ekari 210 ziko tambarare
Umbali km 2 kutoka bagamoyo road
Ina hati miliki
Bei TZS 12 million kila ekari moja